Jumuiya ya Afrika Mashariki au Mtangamano wa Afrika Mashariki (kwa Kiingereza East African Community, kifupi EAC)
Ni muundo wa kisiasa unaounganisha nchi tano za kanda ya Maziwa Makuu ya Afrika Mashariki: Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda. Mnamo Machi 2016 Sudan Kusini imekuwa nchi wa sita.
Eneo la Mtangamano ni 1,820,664 square kilometres (702,962 sq mi), likiwa na wakazi 153,301,178 (kadirio la mwaka 2014)
Jumuiya yenye jina hilo imepatikana mara mbili katika historia: jumuia ya nchi tatu kubwa zaidi kati ya hizo ilianzishwa mwaka 1967, lakini ilisambaratika mwaka 1977
Jumuiya ilifufuliwa rasmi tarehe 7 Julai 2000.

No comments:
Post a Comment