Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akifafanua jambo kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini
Mhe. Song Geum-Young wakati wa mazungumzo waliyoyafanya Wizarani Jijini
Dar es Salaam. Mazungumzo yao yalijikita katika masuala mbalimbali ya
kudumisha uhusiano kati ya nchi hizi mbili (Tanzania na Korea) sambamba
na kuzungumzia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini
inayofadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Korea, ikiwemo mradi wa
Hospotali ya Muhimbili, Mloganzila na Mradi wa ujenzi wa Daraja jipya la
Sarenda unatarijiwa kuanza hivi karibuni. |
No comments:
Post a Comment